Katibu wa TALGWU Mkoa wa Ruvuma kulia akiwa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu TALGWU Taifa Ndugu Bloady Komba wakwanza kushoto
Bi Evelyine Moshi Mtunza hazina wa Kamati ya Wanawake TALGWU Mkoa mdada mrefu wa kushoto wakati wa maandalizi ya mandamano
BAAADA YA KUGUSA SOSI NIKUONYESHANA VIPAJI NDUGU ZANGU HII NI GUSA GUSA SOUND
MSIOGOPE MKIMALIZA KULA MNAWEZA BEBA MIFUKO IPO JAMANI