Alie kuwa P/S wa Talgwu Mkoa wa Ruvuma wakwanza kushoto Bi Tumaini Mandele akiwa na Dereva wa Talgwu Mkoa Zidadu Haule.
Bi Thecla Nyoni Mjumbe wa Kamati ya utendaji kutoka Mbinga akiwa na Mwenye kiti wa TALGWU Mkoa wa Ruvuma Ndug, Eusebious Ngatunga mara baada ya kumaliza kikao.
Wakwanza kushoto ndug Eusebious Ngatunga Mwenyekiti TALGWU Mkoa wakatikati ni ndug Broady Komba na wakwanza kulia ni Bi Asha Kasembe.
KAMATI YA USHAURI YA WANAWAKE TALGWU MKOA WA RUVUMA MARA BAADA YA KIKAO TAREHE 28/10/2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment