Tuesday, January 26, 2010

YORAM A.K.A SHOW 5

Baada ya kusumbua sana jijini Tanga kupitia muziki wa kizazi kipya, kwa sasa jamaa anafanya mambo makubwa kupitia Kituo kimoja cha Radio mjini Zanzibar kama mtangazaji.



muzic oversize ni bonge la show linalomfanya mshkaji kusumbua sana katika mambo ya maburudani mjini Zanzibar hii ni kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa kuanzia saa 8 nane mchana mpaka majira ya saa kumi na moja jioni vurugu zote hizo nindani ya COCONUT FM Radio ndani ya Zanzibar

No comments:

Post a Comment